Hosea 8:13


13 aWanatoa dhabihu nilizopewa mimi
nao wanakula hiyo nyama,
lakini Bwana hapendezwi nao.
Sasa ataukumbuka uovu wao
na kuadhibu dhambi zao:
Watarudi Misri.
Copyright information for SwhKC